Hitaji letu kuu ni nini? Nini kitatokea tukishindwa kuufikia? Mungu aliwapa Adamu na Hawa kila kitu walichohitaji. Walikabili tatizo lilelile ambalo sisi sote hukabili: Je, tutaishi katika njia ya Mungu’ au katika njia zetu wenyewe? Mwanzo 3 ni picha ya dhambi na jinsi Mungu alivyoshughulika na wenye dhambi, dhambi na matokeo yake. Mungu huwafuata wenye dhambi na kumuuliza mwanadamu na bado anamuuliza mwanadamu maswali yale yale leo.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.