Yohana Mbatizaji alimtambulisha Masihi, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu aichukuaye dhambi ya ulimwengu! Injili zinasimulia matukio muhimu katika maisha ya Yesu Kristo: Ubatizo wake – kuwekwa rasmi, kuashiria mwanzo wa huduma yake ya hadhara; na majaribu yake, ni mapambano na Shetani. Yesu alishinda majaribu kwa kujua na kunukuu Maandiko na kumtanguliza Mungu maishani mwake. Alithibitisha kwamba alikuwa Mwana wa Mungu anayeshinda dhambi.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.