Baraka ya Msamaha

Mungu aliirejesha nafsi na ufalme wa Mfalme Daudi ingawa alikuwa ameshindwa kiadili na kiroho. Lakini baraka ya msamaha wa Mungu na urejesho ulikuja tu baada ya Daudi kutembea katika njia za haki kwa kukiri dhambi yake, kutubu, na kujitolea kufuata njia ya Bwana. Kama Daudi, sisi sote tuna tatizo la hatia. ‘Suluhu’ la Mungu kwa tatizo letu la hatia ni msamaha wake.

Somo la Sauti:

Back to: Historia: Waamuzi – Esta

Toa Jibu