Yesu alisimulia mifano miwili, “yule jeuri na tajiri” na Lazaro, ambayo mara nyingi haieleweki. Kuna angalau matumizi mawili kwa mifano hii. Kwanza, katika maisha haya, sisi tu mawakili au wasimamizi wa yote ambayo Mungu ametupa na lazima tuyatumie kwa hekima milele. Pili, ni lazima tuwaone watu wa dunia hii kama kondoo waliopotea, sarafu, au wana, na kuruhusu Kristo kuwafikia watu hawa kupitia sisi.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.