Hema la Ibada

Kitabu cha Mambo ya Walawi ni kitabu kigumu kuelewa. Katika somo hili tutapata ufahamu wa mifano inayozunguka “Hema la Ibada na jinsi kila ishara iliwekwa pale ili kuwasaidia watu wa Mungu kuelewa uhusiano wao Kwake na Masihi ajaye, na kazi ambayo angeikamilisha msalabani wa Kalvari. Kila kipande cha samani kilielekeza kwa Mkombozi aliyeahidiwa – Yesu Kristo.

Somo la Sauti:

Back to: Mambo ya Walawi – Yoshua

Toa Jibu