Nabii wa Siasa

Kitabu cha Mika kinarekodi mahubiri matatu makuu. Nabii huyo alizaliwa akiwa mkulima, hata hivyo aliitwa kuhubiri neno la Mungu kwa viongozi wa kisiasa na wa kiroho wa miji mikuu ya Israeli na Yuda. Mika aliwashutumu viongozi kwa sababu ya kuzorota kwa maadili na kiroho kwa watu wa Mungu. Mika alihubiri kwamba njia pekee ya wao kuokolewa kutoka katika dhambi zao ni kwa Mungu kutuma Mtawala mkamilifu: Masihi.

Somo la Sauti:

Back to: Manabii Wadogo: Hosea – Malaki

Toa Jibu