Katika kipindi hiki tunachunguza barua ya mwisho ya Mtume Paulo. Wakati Paulo anaandika barua yake ya pili kwa Timotheo anajua siku zake zimehesabika. Paulo anatumia mifano ya askari, mwanamichezo, na mkulima kusisitiza nidhamu, bidii na subira ya kuishi Injili kama wanafunzi wa Yesu Kristo. Kuna kanuni za maisha ndani ya Kristo, na mojawapo ni kuchukua msalaba wako na kuwa tayari kufuata na kuteseka kwa ajili yake.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.