Kwa nini nilizaliwa wakati huu na mahali hapa? Je, ninaingia wapi katika mpango wa Mungu? Majibu ya maswali hayo na mengine mengi yanapatikana katika kitabu cha Isaya, kitabu kirefu zaidi cha unabii katika Biblia. Isaya ananukuliwa zaidi katika Agano Jipya na anatoa unabii mwingi zaidi wa Masihi anayekuja kuliko nabii mwingine yeyote. Isaya hutufanya tutambue hitaji letu la Mwokozi na kisha hututambulisha kwa Mwokozi ambaye angekuja.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.