Mungu na Mwanadamu — Kama Ilivyo

Kitabu cha Warumi ni kazi kuu ya kitheolojia ya Paulo_x0092. Paulo anaweka wazi fundisho muhimu la Kuhesabiwa Haki (kwamba Mungu anawatangaza wasio haki kuwa wenye haki kabisa kwa sababu ya kazi ya Yesu Kristo). Ni juu ya nguzo hii ambapo anajenga hoja yake kwa ajili ya uwezo wa injili ‘kuwageuza wenye dhambi wasio haki kuwa wenye dhambi waliohesabiwa haki, kwa maana msalaba wa Yesu Kristo unaweza kutufanya kuwa wenye haki. Habari njema katika Kristo ni kwamba tunaweza kuhesabiwa haki, “kama vile hatujatenda dhambi kamwe!

Somo la Sauti:

Back to: Matendo ya Mitume na Warumi

Toa Jibu