Kuongoka kwa Sauli ni onyesho la ajabu la nguvu za Roho Mtakatifu. Mungu alimchukua Sauli, mpinzani mkali wa Injili, na kumgeuza kuwa Mtume Paulo, mmishonari mkuu wa Injili. Kama tokeo la imani yake mpya, na kujitolea kwake kwa injili, Paulo alipoteza mafanikio yake yote ya kilimwengu na sifa yake ya kuwa Farisayo, “akiyahesabu mambo yote kuwa hasara kwa ajili ya thamani bora zaidi ya ujuzi wa Kristo Yesu.
Toa Jibu
Ni lazima uingie ndani kutuma maoni.