Jinsi ya Kufeli kwa Mafanikio

Kupitia maisha ya Mfalme Daudi tunaweza kujifunza mafanikio kupitia kushindwa. Kwa sehemu kubwa ya maisha yake, Daudi alikuwa kielelezo kizuri. Lakini katika msimu mmoja wa maisha ya Daudi, alifanya uzinzi na kuua; kwa mwaka mzima, alijaribu kuficha dhambi yake. Dhambi zake zinaonyesha kwamba hata watu wanaomcha Mungu wanaweza kushindwa na majaribu wasipokuwa waangalifu. Maisha ya Daudi yanatufundisha jambo muhimu ni jinsi tunavyotenda tunaposhindwa.

Somo la Sauti:

Back to: Historia: Waamuzi – Esta

Toa Jibu