Kuamua kwa ajili ya Yesu

Baada ya kutoa miito mitatu ya kujitolea, ambayo iliisha kwa ile Kanuni Bora, Yesu sasa anatoa mwaliko mgumu. Huu ni wito wenye changamoto wa kujitolea, suluhu na majibu na kufikia ulimwengu kwa ajili Yake. Ni changamoto ya moja kwa moja inayouliza, “Je, utakuwa sehemu ya tatizo au sehemu ya suluhu?

Somo la Sauti:

Back to: Mahubiri ya Mlimani

Toa Jibu