Muktadha wa Mahubiri ya Mlimani – Sehemu ya 1

Mahubiri ya Mlimani yanaonwa kuwa mojawapo ya hotuba muhimu zaidi za Yesu na mojawapo ya mafundisho Yake ya msingi zaidi, yanayokazia kichwa kikuu cha mafundisho ya Yesu. Hata watu wengi wasio Wakristo wanaamini kwamba mahubiri haya ni mojawapo ya ujumbe muhimu zaidi kuwahi kufundishwa. Pengine hakuna kifungu katika Biblia ambacho kimenukuliwa zaidi na kueleweka chini ya mafundisho haya katika Mathayo 5-7.

Somo la Sauti:

Back to: Mahubiri ya Mlimani

Toa Jibu