Mahubiri ya Mlimani

Mahubiri ya Mlimani

“Mahubiri ya Mlimani huchukuliwa kuwa mojawapo ya mazungumzo muhimu zaidi ya Yesu na mojawapo ya mafundisho Yake ya msingi zaidi, yanayozingatiwa kushikilia kiini cha mafundisho ya Yesu. Hata wengi ambao sio Wakristo wanaamini mahubiri haya ni mojawapo ya ujumbe muhimu zaidi kuwahi kufundishwa. Labda hakuna kifungu katika Biblia ambacho kimenukuliwa zaidi na kutoeleweka kikamilifu kuliko mafundisho haya katika Mathayo 5-7.

Watu wengi walikuwa wamemfuata Yesu kwa sababu ya mafundisho, kuhubiri, na uponyaji Wake. Alihubiri Mahubiri ya Mlimani wakati umati wa watu ulikuwa umekusanyika kumzunguka Yeye karibu na Bahari ya Galilaya. Alipanda mlimani na kuwaalika baadhi ya wanafunzi Wake waandamane naye. Hii iligawanya umati katika makundi mawili: wale walio chini ya mlima, ambao waliwakilisha matatizo yote ya ubinadamu, na wale walio katika kiwango cha juu ambao walitaka kuwa sehemu ya suluhisho Lake kwa matatizo hayo. Yesu alianza kufundisha na kuelimisha wafuasi Wake ili waweze kwenda ulimwenguni na ujumbe Wake na kwa nguvu Zake.”

Lessons

Masomo Yanayopatikana :

Siwezi, Lakini Yeye Anaweza

Author: kenyan@auth

Uadilifu wa Kipekee

Author: kenyan@auth

Tabia na Utamaduni

Author: kenyan@auth

Chumvi na Mwanga

Author: kenyan@auth

Kufanana na Mungu

Author: kenyan@auth

Nidhamu ya Kiroho ya Kutoa

Author: kenyan@auth

Msamaha na Saumu

Author: kenyan@auth

Maadili ya Kiroho

Author: kenyan@auth

Maadili ya Ufalme

Author: kenyan@auth

Klabu ya “Mimi-Kwanza”.

Author: kenyan@auth

Comments are closed.