Mwanzo na Kutoka

Mwanzo na Kutoka

Mwanzo na Kutoka ni vitabu viwili vya kwanza vya Biblia na ni vitabu vya kwanza kati ya vitano ambavyo ni Torati. Mwanzo huanza na simulizi la uumbaji na kinafundisha kwamba Mungu ndiye aliyeumba kila kitu kilichopo. Kitabu hiki pia kinafundisha kuhusu wito wa Mungu kwa Abrahamu na jinsi mataifa yote ya dunia yangebarikiwa kupitia uzao wake. Kitabu cha Kutoka kinasimulia utumwa wa watu waliochaguliwa wa Mungu – Israeli – huko Misri na jinsi Mungu, kupitia mtumishi wake Musa, anawakomboa kutoka kwenye utumwa huu.

Lessons

Masomo Yanayopatikana :

Kusudi la Biblia

Author: kenyan@auth

Kuzaliwa kwa Wanadamu

Author: kenyan@auth

Uko Wapi?

Author: kenyan@auth

Ndugu yako yuko wapi?

Author: kenyan@auth

Baba wa Imani

Author: kenyan@auth

Wewe ni nani?

Author: kenyan@auth

Mungu Anayesimamia

Author: kenyan@auth

Siri Nne za Kiroho

Author: kenyan@auth

Kanuni za Ukombozi

Author: kenyan@auth

Roho ya Amri Kumi

Author: kenyan@auth

Comments are closed.