Historia: Waamuzi – Esta

Historia: Waamuzi – Esta

Vitabu vya Waamuzi hadi Esta vinaendeleza na historia ya Israeli kutoka mahali iliishia kwenye kitabu cha Yoshua. Baada ya kifo cha Yoshua, Israeli ilitawaliwa na mfululizo wa Waamuzi. Wakati huu katika historia ya Israeli unasifika kama kuzorota kwa utii wa Mungu. Wana wa Israeli wanaendelea kushawishiwa na tamaduni anuwai za Wapagani katika nchi hiyo na mwishowe wanamlilia Mungu awape mfalme wa kibinadamu awatawale. Mungu anawapa tamanio hili ingawa kimsingi walikuwa wakimkataa Mungu kama mfalme wao. Mfalme wa kwanza hakufanikiwa lakini mfalme wa pili na wa tatu wa Israeli – Daudi na Sulemani – wanawezesha nchi kuwa nyakati zenye mafanikio zaidi katika historia ya ufalme wa Israeli, ikiwemo ujenzi wa hekalu la Mungu huko Yerusalemu. Kufuatia kifo cha Sulemani, ufalme wa Israeli unagawanyika katika falme mbili – falme za Kaskazini na Kusini. Kuanzia hapa hadithi ya Israeli inasifika kuwa yenye dhambi dhidi ya Mungu hadi falme zote mbili zinaposhindwa na falme nyingine na watu kupelekwa uhamishoni. Lakini hadithi haiishii hapo, Mungu hajamaliza na watu wake na anazidi kuwa mwaminifu kwa agano hata ingawa wana wa Israeli hawafanyi hivyo. Vitabu vya mwisho katika sehemu hii vinaelezea hadithi ya uaminifu wa Mungu uhamishoni na kuinuliwa kwa viongozi ambao wanawaongoza watu kurudi katika nchi ambayo Mungu aliahidi.

Lessons

Masomo Yanayopatikana :

Maumivu ya Ukengeufu

Author: kenyan@auth

Mapenzi ya Ukombozi

Author: kenyan@auth

Upendo Mara ya Kwanza

Author: kenyan@auth

Ufalme wa Mungu

Author: kenyan@auth

Sikia kwa Mungu

Author: kenyan@auth

Utii wa Upako

Author: kenyan@auth

Baraka ya Msamaha

Author: kenyan@auth

Wafalme na Manabii

Author: kenyan@auth

Mambo Yameachwa

Author: kenyan@auth

Wasifu wa Kiongozi

Author: kenyan@auth

Comments are closed.