Manabii Wakuu: Isaya – Danieli
Manabii wa Israeli walikuwa watu kutoka asili mbalimbali ambao waliitwa kunena kwa jina la Mungu. Manabii waliwafundisha watu na wengi wao waliwaonya kuhusu hukumu zilizopaswa kuja ambazo zilikuwa ni matokeo ya Israeli kutokuwa waaminifu kwa agano lao na Mungu. Katika maonyo haya yote, wakati wa siku zenye giza zaidi kwa watu wa Mungu, kuna ujumbe wa neema na tumaini la Mungu, ambao ni neema ya Mungu katika kutoa msamaha na tumaini kwa Masihi anayekuja.
Comments are closed.