Familia na Ndoa

Familia na Ndoa

Haya ni masomo yenye ujumbe maalumu kwa ajili ya ndoa au watu ambao wanapanga kufunga ndoa hivi karibuni. Mungu hutumia picha ya upendo wa Bwana Yesu Kristo kwa Kanisa lake ili kuonyesha upendo ambao lazima mume awe nao kwa mkewe. Tutajifunza mahusiano ya ndoa: msingi wa kiroho, zana ya mawasiliano, upatanifu, nguvu za kuwa mmoja, uelewa na muunganiko wa kingono wa ndoa yenye furaha kama udhihirisho wa furaha wa umoja.

Lessons

Masomo Yanayopatikana :

Mfungo Saba wa Ndoa

Author: kenyan@auth

Utangamano na Upendo

Author: kenyan@auth

Kuelewa

Author: kenyan@auth

Kuelewa (Sehemu ya 2)

Author: kenyan@auth

Ngono (Sehemu ya 2)

Author: kenyan@auth

Comments are closed.